![]() ![]() |
![]() |
|
|
Gazeti
INJILI http://munishi.netfirms.com
E-mail: munishifaustin@yahoo.com Or fmunishi@hotmail.com Waislam Wampora Mkisto Nyumba
Name:
Rev.Leonard S.Mwazembe Inasemekana kuwa mama mwenye nyumba alikuwa muislam na hakuwa na ndugu hata mmoja hapa Dar. Hivyo alipokufa alimuachia urithi nyumba hiyo kijana mmoja aliyekuwa anamsaidia Ndugu huyo anaitwa Daniel. Nao waislam ndipo walipo inuka na kusema haiwezekani nyumba ya muislam kumilikiwa na kafiri. Kwa hiyo walifungu kesi mahakama ya mwanzo na kisheria ndugu daniel alishinda na ndipo walipo amua kukata rufaa ambayo imewapa ushindi. Na leo nyumba ilizungukwa na maaskari ambao walikuwa wanawazuia waislam kuingia ndani pamoja na hiyo hati yao ya mahakama ya rufaa. Waislam waliamua kuandamana badaye kwenda msikitini. Niliona wakifukuza wake zao ikiwa ni Ishara kwamba sasa walikuwa tayari kupambana na polisi. Wanasema Sheria za Kislam anapo kufa muislam kama hakuwa na Ngugu basi mali zake zote zinakuwa za waislamu. Na nyumba hiyo imekuwa ikifanyiwa biashara ya baa na hicho ndicho ambacho kimeonyesha kuwahudhi sana waislam wakati huo hou mtaa wa Samora kwenye Ofisi za Shivacom zimemiminika mamia ya wakazi wa mjini Dar toka saa kumi na mbili asubuhi kwa ajili ya line za simu zinazo tolewa bure mpaka jana line Elfu sita zilitolewa bure. |
||||||||||||
|
|
|
|