Ukurasa wa mbele
Gazeti la injili
Nyimbo za Munishi
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail
Tuma SMS duniani
Sema nami
Sikiliza waongo
Twende kanisani
Gazeti INJILI http://munishi.netfirms.com
E-mail: munishifaustin@yahoo.com
Or fmunishi@hotmail.com

Vita si vya mwili, ni Roho.

 

Umewahi kuisikia lugha ya nchi za magharibi kwamba zenyewe ni nchi za Kikristo, na kwamba zinapambana kuzimaliza dini nyingine duniani?

Wakristo wasiojua wanaweza kushangilia wakifikiri kuwa utajiri wa nchi hizo ukitumiwa kuzimaliza dini nyingine, basi wakrito watakuwa wamelifikia lengo.Msidanganyike!! Vita vyetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya mapepo wachafu, katika Roho.

 

 
| http://munishi.netfirms.com |
 
<<Back  |  Home |  Gazeti La Injili | Injili2 | Nyimbo Za Munishi | Next >>