![]() |
![]() |
|
|
|
||
![]() Gazeti INJILI Kwenye Internet http://munishi.netfirms.com Tel. 254722602445 E-mail: munishifaustin@yahoo.com Or fmunishi@hotmail.com LATTER GLORY EVANGELISM MINISTRIES
With Evangelisti Mwazembe Latter glory ministries is a non-denominational ministry in that it works with all denominations, gospel ministries without boundaries, making sure they preach good news of salvation based on the bible. It based on the great commission of methew 28:19 THEREFORE GO AND MAKE THE DISCIPLES OF ALL NATIONS. Believes that the manifestation of the promise of the latter glory is greater than the fomer Haggai 2:9 ie,salvation, healings, signs & miracles and great anointing for the harvest. OBJECTIVES. To reach the an reached with the true gospel of JESUS >The ministry will hold 2 crusades every month in different town > To minister to the muslims. THE VISION As we proclaim JESUS the Christ as the head of the church and the manifested word of God, our goal is to preach the gospel of salvation accompanied with miracles and healings.Teaching the word of God accurately and also reaching the youth. STATEMENT OF BELIEF'S. Latter Glory Evangelism ministries we believe: Jesus Christ is the son of God and that He was crucified and buried. On the third day he rose from the dead and ascendeded into Heaven, where He remains at the right hand of God Allmighty. after death enternal life begins either in Heaven or Hell.Where you spend enternity is based on your decision to live according to Gods word-the bible-or to rebel against it. Rapture The bible was written and inspired by God in water baptism in the name of the Father, Son and the Holy Spirit.in and baptism in the Holy Spirit, evidence of speaking in tongues. ABOUT THE MINISTRY. Evang.Leonard S. Mwazembe received the vision for evangelism in 1992. From that time he started to minister in Crasedes. He has preached in The countries in East Africa and also central Africa. By now he is 29 years old. BECOME A PARTNER WITH LATTER GLORY EVANGELISM. Partnership has meaning A partner is: One who shares responsibility in some common activity with another individual or group. Your pert is to- 1.Pray for us always 2.Be committed to support meetings in your area 3.Support us financially with your monthly predge 4.Always lift up the ministry,Evang.L.S.MWAZEMBE and His family with the positive confessions. WE NEED YOUR SUPPORT NOW. In this month of April we expect to have 2 Big miracle crusades in 5-7th April Mbeya Tanzania 24-28th April Eldoret Kenya We believe that together we can succeed.So I would like you to stand with us.The bible says in the book of deut 32:30 that two can put ten thousand to flight,and provide the anointing to remove burdens and destroy yokes. Therfore we need your support in prayer and finances. Here is the budget for up coming gospel crusades project. We need 1000 usa dollars. For any support contact us. Write to: Evangelist Leonard Samson Mwazembe P.O.Box 10130 Dar-es-salaam Tanzania Tel +255-741-213213 Email:latterglory@yahoo.com We will thank God For every support and pray for the blessings to be upon you as a result of obeying the word of God. Philippians 4
Miracle Conferance in Kisii.18-24 March Ripoti fupi. Umekuwa wakati wa baraka za pekee katika mji wa kisii,Mamia ya watu walihudhuria katimkutano kila siku Masomo yaliofundishwa Ssiku.1.kufunguliwa kutoka katika laana za kurithi 2.Kukamishwa kwa watakatifu. 3.Kanisa kufunikwa na huduma tano na karama tisa na tunda la Roho. 4.Kiwango cha juu cha ushindi katika maisha ya utakatifu. Masomo yote yalifundishwa na muinjilist Mwazembe,Ambaye ni rais wa hudama ya uinjilisti kwa jina LATTER GLORY EVANGELISMMINISTRIES INT. Masomo yote yanapatikana kwa njia ya audio na vidio agiza: Kwa watu wa kenya Kisii Delivalnce Wengi walifunguliwa kutoka katika nguvu za mapepo na miujiza mingi ilitendeka katika maisha ya watu.
Muujiza wa kipekee ni wakati kila siku wanaume na wanawake walipo kubali kumpa Yesu maisha yao, Mama mmoja alijitambulisha kwa jina la Salima akiwa amevalia nguo za dini ya kiislamu alikuja kujaribu na baada ya maombezi alifunguliwa kwa namna ya kipekee kutoka kitika nguvu za majini. Mama mmoja alishuhudia kuwa mtoto wake alipompeleka hosipitalini kwa sababu ya ugonjwa usiyojulikana aliambiwa hana damu baada ya maombezi walienda kupima na kukuta damu imeongezeka kwa nguvu za miujiza katika jina la Yesu Sifa na utukufu kwa Yesu. KANDA ZA MAHUBIRI HAYA ZINAPATIKANA PIGA SIMU DELIVARANCE church au piga simu 0733 862506 au 0381 30666 Kwa Dar es salaam piga simu Namba 0741 213213 Tuna mikutano ya baraka mbele yetu tunahitaji usimame nasi kwa maombi na kutusaidia pesa tujulishe kwa kutupigia simu namba 0741 213213. Kwa walio Mbeya unaweza kutoa mchango wako kwa njia ya akaunti hii :Leonard Samson Mwazembe A/C No 6801039255 Tawi laNBC Mbalizi Raod branch. Mungu akubariki sana kwa baraka za kipekee unapo chukua hatu kusimama na huduma hii. Kumbuka tumeitwa kuwafikia watu ambao hawajafikiwa nia Injili ya kweli ya Kristo. Muinjilisti Leonard Mwazembe Ikwa unahitaji lolote tupigie simu tutaomba na wewe kwa njia ya simu Namba 0741 213213 Au E-Mail lmwazembe@yahoo.com
Ev. Mwazembe
LATTER GLORY EVANGELISM MINISTRIES INTERNATION Barua ya kila mwezi kwa marafiki wa huduma kutoka kwa muinjilisti L.S.Mwazembe. April Ujumbe kuhusu ushindi Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu yaani hiyo imani yetu katika kila jambo linaloweza kutokea katika maisha yako ya ukristo unaweza kushinda ikiwa utaweka imani yako katika neno la Mungu, Luka 1:37 Isaya 55:10-11 TUMEITIWA KUSHINDA kanisa la Kristo limezaliwa katika ushindi na litaendelea katika ushindi mpaka siku Yesu atakapo rudi kulinyakua. Na kwa kuwa wewe ni sehemu ya kanisa yaani mwili wa kristo,1wakorintho 12. Ni hakika kwamba uko upande wa ushindi.Anza kuona yote unayopitia kuwa yako chini ya miguu yako Walumi 16:20 Naye Mungu wa amani atamseta shetani chini ya miguu yenu upesi shetani. Hakuna Hali yeyote au jaribu katika maisha yako ambalo ni la kudumu bila ufumbuzi. Wakristo wengi hushindwa katika mambo mengi kwa sababu ya kjitazama wao wenyewe,Tunapo pambana na Shetani ushindi wetu haututegemei sisi wanyewe, Mtume Paulo alitoa ufafanuzi juu ya jambo hili kwa Wakorintho, Ingawa tunaenenda kwa jinsi ya mwili[yaani udhaifu wetu] Hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili silaha zetu zina uwezo katika Mungu, Silaha za vita vyetu si za mwili, ndiyo maana hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili 1.Wakorintho 10:3-4 Silaha kuu ambayo Mungu ameifunua kwetu ni neno la Mungu, silaha zote ambazo zitatupa ushindi dhidi ya adui tunaweza tu kuzipata katika neno la Mungu[biblia] Kwa neno tumeshinda magonjwa 3.Yoh 1:2 Mithali 4: 20- Tumeshinda umasikini galatia 3:13-14 3.wakorintho 8:9 Tumeshinda dhambi kwa kuwa tumezaliwa upya kwa neno la Mungu 1.Yoh 5:4 yoh 1:12 tuna uwezo juu ya nguvu zote za giza kupitia neno. Anza kumiliki katika maombi na kuishi katika nafasi yako ya ushindi sasa na neno la Mungu. IGIA AWANJA WA MAPAMBANO NA WAZO LA KUSHINDA Ni mawili wewe kushinda ama Shetani ashindwe. Tayari umevikwa uwezo na nguvu za kukuwezesha kutembea katka nguvu za ushindi. si kwa kubahatisha hapana ni hakika Tuna ushindi na zaidi ya kushinda ni matokeo ya kulipokea neno la Mungu katika maisha yetu. TUNAPOKEA UWEZO WA KUYAWEZA MAMBO YOTE KWA NJIA YA NENO Vizuizi vyote na namna zote za vikwazo ambavyo adui atweka ili kuzuia mafanikio katika kazi,biashara,masomo, Nk, Ni hivi unapo omba kwa kusimama katika neno la Mungu uko upako unaokuja juu yako Ninaita ni \upako wa Tai Kukuwezesha kupaa juu ya mitego yote ya Ibilsi na juu vikwazo vyote. Kwa njia hiyo mafanikio na upenyo vitatokea katika: Huduma yako Familia yako Kazi yako Biashara yako. Baraka za ajabu zitaanza kuyafunika maisha yako. Ni maombi yangu kuwa ujumbe huu katika waraka huu utakuinua na kukuwezesha kukaa upande wa ushindi. Mwezi huu unapojitoa kusimama nasi katika maombi na kutoa pesa kwa ajili ya kuwafikia amabao hawajafikiwa na na ukweli huu Napenda kukuhakikishia kuwa upo upako wa ajabu utaachiliwa katika maisha yako ya ili kukupa ushindi katika kila jambo. Mbele yetu tuna mikutano ifuatayo. 5-7-4-2002 Mbeya mjini 24-28/April 2002 Eldoret Kenya, Mei Uhekule Njombe Juni Mbeya . Kma uko mkoa wa Mbeya tuma pesa zako kwa akaunti hii Leonard Samson Mwazembe A/C no 6801039255 NBC Mbalizi Raod Branch mbeya/ Mikoa mingine unaweza kutuma kwa njia ya ambayo utaona vema tupigie simu namba 0741 213213 .Nairobi Tel 02-796274 mobile 0733 919300 Ongea na Sister Rosemary. Kama uko kisii ongea na Jenifer mobile 0733 862506 or 0381 30666. Kwa wale wote ambao walitusaidia kwa mikutano ilopita Mungu awabariki sana. Muinjilisiti L.S.Mwazembe
Mwazembe Akikaribishwa kuhubiri katika kanisa la Delivrence Kisii Anayemkaribisha ni mchungaji Ken Nyaryeko
Gospel
tape banned by Dar officials
|
||
|
Faustin
Munishi Tell. 25472602445 Nairobi Kenya East Africa
E-mail: fmunishi@hotmail.com | munishifaustin@yahoo.com You are Visitor Number since 14th February 2001 |
||