Munishi na mke wake, siku walipofunga
pingu za maisha.Ilikuwa tarehe10-6-1989 mjini arusha
TZ. Anayechukua picha ni Karanja Kimwere, mtayarishaji
wa vipindi KBC.

1974 Munishi akiwa na Miaka 14

Munishi akiwa na mguu uliovunjika Mwaka 1974. Kulia
ni shemeji Emmanuel Simel, Mmasai aliyemuoa dada yake
mkubwa. Kushoto ni Asnat Emmanuel Simel.

Munishi akiwa na miaka19

Huyu ni Munishi mchoraji wa picha akiwa na vifaa vya
kazi Mwaka 1979. Kulia ni mtalii kutoka Ujerumani
aliyevutiwa na uchoraji.

1984 DODOMA.
Baada ya Munishi kuokoka 1980 huko Arusha, alijiunga
na mwinjilisti Moses Kulola kihubiri injili Tanzania
yote.Pichani kulia ni Emmanuel Mwasota, akifuatiwa
na Rev.Kulola aliyeketi, na mwisho kushoto ni kijana
ambaye Mungu alimteua kuikomboa Tanzania kutoka katika
minyororo ya CCM

Munishi baada ya kuokoka. 1980 Arusha.

Munishi aanza kazi ya uinjilisti kwa nyimbo. 1983
Picha hii ilichapishwa mara nyingi kwenye gazeti la
MFANYAKAZI.

1983 Hapo ndipo Munishi alipoonyeshwa maono kuiongoza
Tanzania .Alionyeshwa makosa ya Nyerere na akaanza
kumpinga.

Munishi akimlisha keki mke Prisca wake mara tu baada
ya kufunga pingu za maisha 1989

Prisca akimlisha keki mama mkwe wake MAKOMBO huku
baba mkwe wake A. MUNISHI akiangalia kwa makini

Prisca akimlisha keki baba mkwe wake huku baba yake
mzazi EDWARD MBISE akiangalia

Munishi na mtoto wao wa kwanza Mojashi Munishi
Mwaka 1991 Nairobi Kenya

Munishi na mtoto wao wa kwanza Mojashi Munishi Mwaka
1993 Nairobi Kenya

Munishi na Mke wake Prisca

Bwana na Bi Munishi wakifanya kile wanachokijua zaidi.
Kumwimbia Mungu nyimbo za sifa

Munishi na watoto wao wawili Mojashi aliyesimama,
na Salelo aliyebebwa. 1995 Nairobi Kenya

Mojashi 12, Mangi miezi 6, na salelo 7 ilikuwa mwaka
2000 Nyumbani kwao Ngong

Munishi mwaka 2000
Bonyeza
Hapa kwa Picha zaidi