Lenny Aokoka, Asema OGOPA DJ
ni waabudu Shetani. Adai ilikuwa atolewe sadaka kwa Shetani
ndipo Mungu alipomwita aokoke. Asema wasanii wengi wamekutana
na vifo vyao katika mazingara ya kutatanisha Tena asema sasa
atamwimbia Mungu badala ya BABY DONT GO! Habari
Zaidi
Rev.JB
Masinde Nairobi inamwita BABA Kweli ni baba wa wengi kiroho